KIFO NA HUKUMU YA MWISHO (ZAB 146:3-4) • Siku za mwanadamu ni chache kama majani isaya 40:6-8,job 14:1-2,1 pet 1:24-25. • Mwanadamu ni msafiri na mpitaji.1Pet 2:11,,, • Mtu ni kama mchanga na mvuke yakobo 4:13-15,Mwanzo 3:19, (kwa hivyo mwanadamu asijivune wala kuhangaikia Maisha.Yakobo 4;13. • Mtu akishakufa hawezi kurudi kwake wala kuona mema ayubu 7:1-10,2 Samueli 12:22-23 • Mwanzo wa kufa-Mwanzo 3:19. • Aliye kufa ni mali ya Bwana –Warumi 14:8, mwanzo50:1 lakini mkristo asilie kama watu na mataifa 1 thes 4:13-18. • Wakati mwingine usijihusishe sana na mambo ya mazishi ikiwa yanagongana na huduma ya neno mt 8:22. • Yule hajaokoka pia amekufa kiroho -1 Tim 5:6,kolosai 2:3,Rom 6:11. • Babu zetu walisafirisha maiti na si vibaya kusafirisha maiti leoila si lazima sisi tufanye hivyo, mwanzo50:4-7,25,Kutoka 13:19. • Tuachane na mila zinazo husu mtu aliye kufa -1 Thes 4:16,1 kor15:21- • Maiti(mwili ambao ametokwa na uhai) haujui chochote –ayub7:5-10,Mhubiri 9:5. • Maiti (mwili ambao imetokwa na uhai) hawezi kurudi nyumbani kwake-Ayubu 7: 5-10. • Si lazima maiti azikwe na umati mkubwa wa watu-matendo 5:6, Luka23:50-53. • Mababu walikuwa na mahali pa mazishi (makaburi)-mwanzo 23:10-9. • Maiti huzikwa –matendo 5:6,kumbu34:6, mwanzo 23:10-19. • Vitabu vingine juu ya kifo ni Mhubiri 6:12,1thes 4:13-18,Mwanzo 3:16,1 kor15:12-57,Ufunuo 14:13,30:23,1 pet 1:24,zab 116:15,102:3-4,90:3-10,39:5-10,Yakobo 4:13-14 • Ni afadhali kuiendea nyumba iliyo na matanga.Warumi 12:15,Mhubiri 7:2,4 • Kula dhabihu zilizotolewa kwa wafu ni dhambi zab 106:28, ufu 2:14, hes 25:1-13, kut 34:15, 1 kor 8:10, 10:20-21 Mtu akifa anaenda wapi? Kuna sehemu mbili tofauti ambazo wanaokufa wanaenda kukaa wakingoja kufufuka kwao na hukumu ya mwisho. Kulingana na matendo yao ufunuo 14:13-14 Sehemu hizo ni: 1. Watakatifu kuwa pamoja na Yesu. 2. kuzimu Watakatifu kuwa pamoja na Yesu.  Mungu anafurahia mtu kufa akiwa mwenye haki Zab 116:15. Katika agano la kale watakatifu walipokufa malaika aliwapeleka kwa kifua cha Ibrahim, Luka 16: 22-23 mahali ambapo katika Agano Jipya panaitwa kuwa pamoja na Kristo Wafilipi 1: 20–23; 2Kor. 5: 8. Luka 23: 43, na siku ya hukumu ya mwisho, hawa watakatifu wataishi Yerusalemu mpya milele. Ufunuo 21: 1-5.  anayekufa akiwa ameokolewa anaingia katika uzima wa milele,Mt 25:34,Ufunuo 14:1  Watakatifu ni wale wanaoamwamini Yesu na wanatii neno la Mungu.Mt 7:24-26,Yoh 15:1,10,14,8:30-32,Isaya 66:2,  Yesu hakubaki kuzimu, ila alichukuwa Funguo za kuzimu, Ufunuo 1:18; Matendo 2:27, luka 23:43  Kanisa linashinda Milango ya kuzimu. Mt. 16:18;  Yesu alienda kuwandalia makao mazuri, Yohana 14:1-2; Ufunuo 21:1-5; 22:1-5 KUZIMU: Isaya 14:9-15, Mithali 7: 27, Luka 16: 19-31. Kuzimu ni mahali ambapo watu wanaokufa wakiwa ndani ya dhambi huenda,kukaa vifungoni kwa mateso wakingoja kutupwa kwa ziwa la moto siku ya hukumu.2 wathes 1:4-20, Lk. 16: 23; Mat. 11: 23; Mrk 9: 43-46 Mithali 27:20,32:16, Luka 16:25 Yohana 5:28,29 Mt 22:13,25:41,Ufunuo 21:8.Na Yule Mt 5:22, Mt 10:28, 8:8-10, Lk 12:5 . kuzimu kuna sehemu inayoitwa giza la nje, hapa ni mahali ambapo wana wa Ufalme wanaoasi(wanafiki) watatupwa, ni mahali pa kulia na kusaga meno Mat. 22:13; 8:12; 24:51 jehanam ilitengenezwa kwa ajili ya shetani na Malaika zake, lakini watu wanaotenda dhambi wanaenda kukaa na shetani kwa huo moto milele na milele -Zaburi 9:17 Mithali 7:27,9:18,ISaya 19:12,5:14,34:9,Mariko9;43-48 waebrania 10:26-27,20:12, 22:19,Wagalatia5:19-21, luka 16:9-35,,12:51,mt,23:33,5:22;10,22,10;28. Yesu alipokufa alienda kuzimu akahubiri injili ya neema na kuchukuwa funguo za kuzimu, na hata leo hii bado Yesu ana uwezo wa kuingia na hawezi kukwama huko. 1Pet.3:18-21, 1 Pet 4: 6; Ufunuo 1: 8; Matendo 2: 27 Mifano ya wale wako kuzimu. ( Mahali pa kulia na kusaga meno Ufunuo 14:10-11, Kumbu 32:22, Mark 9:43-48, LK- 12:5, Mt 10:28(Mungu hapendezwi na kifo cha wenye dhambi Ezekiel 18:23) 1. Wanao mwamini Yesu lakini wanaendelea kuishi maisha ya dhambi wakifa wanaenda kuzimu Wagalatia 5:16-19, Mt 22:13, 8:11-12s. 2. Wasioamini Yesu wakifa wanaenda kuzimu., Yoh 3: 18; Zab. 9: 17; Mt. 11: 23Mungu yuko kila mahali, Methali 15: 11; Zab. 139: 7. 3. Malaika walioasi wako vifungoni kuzimu 2Peter 2:4; Yuda 6 inasemakuwa mapepo mengine yatafunguliwa wakati wa mwisho. Ufunuo 9:1-11. 4. Miji zizisoitikia mwito wa toba zitatupwa kuzimu, Mat. 11:23Tajiri alikuwa kuzimu, Luka 16:23 5. Wale wasio mwamini Yesu Kristo kuwa mwokozi wanaenda motoni ikiwa watakufa kabla ya kumwamini Yesu kuwa mwokozi wao-Yoh 3:16-17. 6. Wale wanao mwamini Yesu Kristo kuwa mwokozi wa maisha yao na kujua neno la Mungu lakini hawajatii hilo neno la mungu (injili) ila wanaishi maisha ya dhambi wanaenda motoni- wasipobadilika -2 wathesalonika 1:6-8,Ebr 10:26-27,Luka 12:47-6:46-49,mt 7:21-26. 7. Wale waliomwamini Yesu Kristo na baadaye wakarudi nyuma wanaenda motoni wasipo mrudia mungu tena.2Pet2:20-22,Waebrania10:35-39. 8. Viogozi wa kanisa ambao wamebadilisha neno la mungu kuwa biashara yao na kutoa ili kupongezwa (harambee) .Wanaohubiri kwa ajili ya mshahara tu wakiambia watu watoe pesa au vitu ndipo waombewe na kuhubiriwa jinsi ya kutajirika au kutafuta mali ya dunia pekee. wanaenda motoni wasipo tubu Yakobo 5:1-4, 1 Tim 6:1-10, Mariko 10:17-26 9. Viongozi wakanisa na watu wengine wanaopanga au wanao wasaidia washiriki kupanga / kutimiza mila au utamaduni kama makumbusho ,teroburu, tohara za kienyeji ambazo ndani yake vijana ufundishwa uchawi ,na tohara kwa wasichana, mila ya kufanya ngono kabla ya kupanda mbegu , kulala na maiti, wote wanaenda motoni wasipobadilika Mariko 7:1-9Wakolosai2:8 Waefeso4:22 Zab 106:28. 10. Wote wanaoleta mitindo ya ulimwengu kanisani ambao wakija kanisani wanacheza miziki ya kitamaduni na kufanya harambee iliyo na mizaha, matani,ubishi wakati wa matoleo, na wanawake wanao timiza tamaa ya mwili na tamaa ya macho na kiburi cha maisha (1 Yohana 2:15-17) kupitia kwa kujipamba kwa nje tu kama makahaba kupitia mitindo yakushuka nywele zao, kuvaa vipuli, kutumia marashi, kuvaa mavazi mafupi au yanayoacha miili yao uchi au wanawake wanao vaa mavazi yanayostahili kuvaliwa na wanaume lakini wakaacha kupamba mioyo yao kwa kuwa watakatifu wasipotubu wanaenda motoni mwanzo 35:2-5, kutoka 32:1-3, 33:4-6, kumbu 22:5, isaya 3:16-24, 1pet 3:3-4, 1tim 2:9 11. Wanasiasa na mashabiki wao wanaokwenda kwa waganga ili kupata umaarufu na kutumia jukwaa zao kwa matusi na pia wakija kanisani ili kuombewa na wana ahidi watu ahadi nyingi za uongo huku wakichochea watu kupigana na kuchukiana na kuchochea ukabila wanaenda motoni wasipobadilika Wakolosai 3:5-11, Isaya 8:19-20,Mambo ya Walawi 19:31 Kumbukumbu 18:10-13 12. . Mazoezi ni mazuri kidogo (1Tim 4:8) lakini wakristo pamoja na watu wengine wakiingia mazoezi kama za mbio, kucheza mpira, kuruka ,michezo za kuchekesha watu na wakasahau kuangalia utakatifu badala yake wakaenda kwa waganga ili washinde au wakawa na michezo inayoleta mizaha ,matani, ubishi ,maringo kiburi kutumia madawa ya kulevya na bangi ,kupigana na matusi na kuwaadhimisha wachezaji- wako njiani kuenda motoni wasipotubu- Wagalatia 5:19-21, Zab1:1Kor 15:33, 6:9-10 9). Mzee anayemwacha mkewe na kumwoa mke mwengine pamoja na na mke anayemwacha mumewe na kuolewa na mume mwengine ni wazinzi, Kwa hivyo wanaenda motoni – luka 16:18,,1 Kor 7:10-11,Warumi 7;2-3, Mariko 10:2-12, 1 Kor 7:10 13. Wale walio ndani ya madhehebu ambayo yamekataa kutii neno la Mungu ambayo yanafanya vitu kwa njia tofauti na vile biblia inasema kwa mfano badala ya kubatiza waumini ndani ya maji mengi, wao wanapaka wakristo mafuta au kuwa simamisha chini ya bandera au kuwafanya waruke juu ya moto wakiita hizo vituko kuwa ni ubatizo na pia viongozi wao hupenda kufanya vitu ili kutazamwa na watu na kupongezwa na watu wote wasipobadika wako kwa njia ya kuelekea jehanamu (motoni)Mathayo 7:13-27, 6:1-4, 23:1-16, Yakobo 2:1-9, Luka 14:7-14 14. Mashoga, washerati, wenye kusengenya, wazinzi, wachoyo, wasingiziaji, wasiosamehe, wasiopenda, wasiotii wazazi katika Bwana, walio ndani vyama vinayoitwa vya maendeleo lakini vina sheria zilizo kinyume na biblia; wale wasiojali wajane na mayatima na wasiojiweza na wengine wote watendao maovu hayo wanaenda motoni wasipo tubu- Wakolosai 3:5-10, Warumi 1:23-32, 2 Tim 3:1-6, 1Yoh 3:15, 14. Mark 11:26, Mt 25:41-46, Yakobo 1:27. Isaya 1:17 15. Wafanya biashara na wakulima wanaolima na kuuza bangi,tumbako wale wanaotengeneza sigara na kuuza pombe na walevi na wale wanaofanya kazi kwa kampuni za kutengeneza Pombe na wafanya biashara ,wanaotumia hongo ujanja ,unyangaji , wizi, na wale wanao tumia madawa za waganga kuendesha biashara yao na wale wanaonyang’anya watu mashamba na vitu vingine walivyowauzia, wale wanapora mali ya wengine,na wale hawalipi wafanyi kazi pamoja na wafanya kazi ambao hawafanyi kazi yao kwa uaminifu wote wako njiani kuenda motoni wasipobadilika- Yakobo 5:1-4 Mithali,23:29-30,Habakuk 2:15,Wakolosai3:5-9 Isaya 5:21-22, Amosi 8:4-8, Mika 6:10-11, Yeremia 5:27-28 Siku Ya Hukumu mt25:31-46, ufunuo20:11 Ukifika wakati wa hukumu ya mwisho, kuzimu itapeana wafu walio ndani yake ili watupwe kwenye ziwa la moto, Ufunuo 20:13. Kuzimu itatupwa kwenye ziwa la moto, Ufunuo 20:14 Lile mtu afanye ili kuepuka jehanam Kukosa kutii kile mungu anasema nis dhambi..Adam na Hawa walipotenda dhambi,wanadamu wote wamehesabika kuwa wenye dhambi tangia tumbo la mama yao-Warumi 3:23,Zaburi 51:5. Mshahara ya dhambi ni mauti Warumi 6:23 ila tunapomwamini Yesu Kristo na kutii neno lake tunasamehewa dhambi zetu zote -Warumi 3:24,25.Wale mbao wanajitahidi kutenda matendo mazuri bila kumwamini Yesu Kristo badu wako na dhambi zao. Lazima tumwamini Yesu kwanza ndipo tuhesabiwe haki bure kisha tuendelee kutenda matendo mazuri .Yoh 3:16-20.Inawezekana kuna vitu ambavyo tunafanya sisi wenyewe bila kujua kuwa ni dhambi na hiyo haibadilishi hizo vitu kuwa vizuri na ndiyo sababu kila mara tunafaa kunyenyekea kwa mungu ili kwa uwezo wa Roho mtakatifu, tufunuliwe juu ya dhambi na tudumu katika kutubu na kutafuta kutakaswa na kusamehewa hata na dhambi ambazo hatujui tunapozifanya.Mambo ya Walawi 5:15-17,Zaburi 19:12,Luka 12:48,Yohana 1:6-10,na pamoja na hayo,tujitahidi kujilinda ili shetani asituingize kwa dhambi-1Yohana 3:2-10.Baada ya kumwamini Yesu,haifai tuendelee kutenda dhambi kusudi baada ya kujuwa ukweli-1Kor 5:9-13 Waibrania 10:24-39 1kor 5:16-18,Wahibrania 6:1-10 2Pet2:20-22 ila tunafaa kuchukia dhambi na kuziacha –1Pet 1:13-15,1Petro 4:1-4 Waefeso 4:22-23 1Pet 3:9-11, 1Yohana3:24 1Yohana 2:29 , kwa wale wanaogafulika katika kufanya dhambi-bila wao wenyewe kupenda wasaidiwe kwa upendo kwa kumrudia Mungu, tusifuraie na kuchekelea na kuhukumu wakati mkristo amerudi dhambini-Yakobo 5;19-20,Wagalatia 6:1 1yohana 2:1-2 mt7:1-2, Luka 15:21-27, kumbuka Mungu alimsamehe Daudi dhambi aliposhauriwa kutubu-2Samuel 12:13,Zaburi 51:1-

KUJITENGA NA DHAMBI

KUJITENGA NA DHAMBI

Na Isaac Simbiri

watu wanazaliwa katika dhambi na hata wakitenda matendo mazuri bado wana  dhambi –Warumi3:23,Kwa sababu hiyo Mungu alipenda watu na akamtuma -Yesu ili aje kuwaokoa Yoh3:16.anaye mwamini Yesu  anahesabiwa haki bure Rom6:23.na       kuitwa Mristo(mwana wa Mungu)  –yoh 1:12 matendo 11:26.huyu anafaa kutenda matendo mazuri –Mat 3:8,1pet 4;1-4,2Kor 5:17-wala asi endelee kutenda dhambi –Ebr 10:26,ili awe hivyo inafaa ;- asome neno la Mungu( 1)1 pet2:1-2(2)atafute kuwa mtakatifu-1pet  1:15, 1Yoh5:1-21,1Pet 4:1-4 (3) ajazwe na Roho mtakatifu –Yoh 14;14-26,Matendo 1:8(4) aombe  na kufunga –mt 17:21,Matend 13:1-3,Matendo 13(5)awe na upendonaushirikaEbr.10:25,matendo2:42,46,Mt24:42(6)abatizwe ndani ya maji mengi Mrk1:10 matendo 8::36-40(7)aanze kutoa kwa hiari –Matendo 4:32,2kor9:6-7,1Kor9:27 (8)aheshimu ndoa –Ebr13:4 (9)ahubiri injili-Mt28:19-20 hayo yatamfanya kukua kiroho.  Huyu anafaa kuwa mwaangalifu anapotafuta kanisa la kuin gia ndani kwa sababu siku hizi manabii wengi wa uongo wametokea  Mt24:35-47,Mt7:13-23,na wako ndani ya kanisa atawatambua kwa matunda yao:-Viongozi wengi wa kanisa hawajaokoka na hawana Roho mtakatifu na ndio wanaongoza kanisa-Mt6:39-49,ni wenye k I uongozi na pesa wanaongea juu yakuchangishapesazahazinayakifoaujuuya“harambee”ambayoinapofanyika utaon  a vituko vya mizaha matani,uongo.ubishi mvutano na kuuza na kununua (biashara)kanisani Mrk11:15,16  na jina hilo haliko ndani ya Bibilia,na pesa wanazochangisha kupitia kwa hiyo harambee,hao viongozi ndio hugawana. Hawana mwito wa kuhubiri,kazi yao imebaki kuzika wafu,kutii  ukoo kuliko Mungu,ni watu  wasiojikana,wanamfuatan yesu kwa sababu ya mikate(mshahara )Luka 9:57-62,14:16-33,Yoh 6:26-66,hujiunga na sherehe na vyama vya kuchangiana pesa na watu wa mataifa.2kor6:14-17,amos 3:3,1kor8:1o-11,10 20-22.Hawaongei juu ya mambo hayo nimetaja hapo juu(1-9) hujenga na kupamba mahekalu.Wachungaji wanajitahidi kupata magari ya kisasa ,wengine wanatafuta nguvu za kuhubiri chini ya bahari kwa mashetani  ili wafanye ishara hapa duniani na kupata wafuasi, wanatafuta runinga za kisasa,wanawake huvaa mavazi yanaowapasawanaumenayasiyositirimwiliaumafupi,Kumb5:22,Pet3;1-6,1Tim 2:9-10,wana tafuta kuwa sawa na wanaume.Vijana nao hunyoa nywele zao kwa mitindo ya kisasa na anasa, wanatembea kwa maringo na kiburi.usiku wanatafuta mahali kuna muziki wacheze na kutazama filamu za kishetani.wazee nao wameeingilia kurithi wanawake na kujiongezea wanawake ,aliye na mke mmoja  anatamani kuwa na mke wa pili .Wafanyabiashara wengine wanatumia ujanja na wizi ili wafanikiwe zaidi.Baadhi ya wanasiasa wanatafuta kufanikiwa  kupitia ufisadi.Wewe uliyeokoka huu ni wakati wa kujiangalia(Luka21:34)kwa sababu vitu vya dunia vinapita(Mt6;25-34)Tim6:10-19,Ayubu1:21,Mhubiri4:4-8,Mhubiri11:9-10 Isaya 40:8.Mkristo uache kuvuta sigara,ukulima wa tumbaku,kuuza sigara na bangi, usifanye kazi kwenyevyumba vinavyouza na kutengeneza pombe na  ukahaba,ulawiti,1wak6:910,Isaya5:22,habakuki2:15,Methali20:1,Wag5:19-21efe5:18,Isaya 55:1 uache mila kama makumbusho,kunyoa kwa ajili ya wafu,tohara za kienyeji  ambazo ndani yake uchawi unafundishwa na kuwatesa wanaotairiwa,uache tero buru,kupanda mbegu na kuvuna baada ya ngono na kulala na maiti,kutahiri wasichana,kulazimisha  mjane kurithiwa na mmoja wa jamii, uache magendo,vipimo vya udanganyifu,methali20:1023,uachekunyanganya watu mashambaau kusongeza mipaka ,methali22:28, kupokea na kupeana hongo,Luka3:10-15, kuua na kuiba na ufisadi,kanisa lisiingie kwa siasa bali liombee taifa letu na tupige kura na usitumie mishumaa katika kuomba,.Uache kula damu matendo15:20.uache kuanzisha huduma kwa ajili ya kujitajirisha,ubatizwe bila malipo Mt10;8,3:13-16,Yoh3:22-26,matendo2:37-41,8;34-38,10;47,8:18.Wanawake kanisani waache kuvaa bangili,vipuli,kupaka makucha na midomo rangi,kusuka nywele na mapambo mengine yanayowafanya  kufanana na makahaba1Pet3:1-6.1Tim 2:9Kiongozi kanisani awe na mke mmoja,1 Tim3:1-13,Tito1:5.acha      mila na tamaduni mbaya,mariko7:1-10,Wakolosai 2:8 wacha kushika sheria za dini zinazo pingana na biblia,kol2:8 tembea kama mkristo1Pet4:1-4

UPENDO

UPENDO

1 yohana 2,3,4,5,1 wakorinthon 13-14;1

Musa alileta amri kumi lakini Yesu alikuja na amri moja mpya  ambayo ni upendo yohana 15:12,yohana 13:34.Ukiwa na upendo,una amri zote za Yesu Kristo.Yesu ni upendo 1 yohana 4:7-8,5:2.Kwa hivyo,ukitaka kuwa na upendo,mpokee Yesu moyoni mwako nawe utakuwa umepata upendof,ndipo unakuwa mkristo kamili naye  anatii kila neno lililonenwa na Yesu kristo.Yohana15:3,10,14,Yohana 14:15,Mt 7:24-26.Ikiwa hauna upendo,inamaanisha kuwa hauna Yesu ambaye ni upendo na bila upendo,mambo yote unayofanya si sawa.1wakorintho 13:1-3,14:1.Kila mkristo anafaa kumpenda Mungu na Mwanadamu.

Jinsi ya kumpenda Mungu Luka 10:27

Unampenda Mungu kupitia kutii neno lake.1yohana 5:3,Yohana 15:3,10,14.Yohana 13:14,Mt 7:24-26.

Jinsi ya kumpenda mwanadamu

Ili kumpenda mwanadamu,unafaa kufanya mambo haya:

Jua kuwa Mungu ni upendo 1 Yoh 4:7-8

Jua kuwa Mungu alikupenda kabla umpende 1Yoh 3:16-17,Yohana 3:16

Mpokee Yesu ambaye ni upendo.Yohana 15:4

Muone Yesu ndani ya wanadamu wengine .Mt 25;31-40,

Jua kuwa yote unayomfanyia mwanadamu unamfanyia Yesu.Wakolosai 3:23,Mt 25;40

Jitolee uhai wako kwa ajili yaw engine.1Yoh 3:16,17.4:11

Anza kufanyia watu vitu ungependa wakufanyie.Luka 6:31

Anza kuwaona watu wengine kuwa bora kuliko wewe.Wafilipi 2:3-4

Usiuzuie msaada wako kwa watu kama una uwezo wa kuwasaidia.Mithali 3:27-28.Ujue kuwa watu wote walemavu ,waliorukwa akili na wote wasio na kitu ni watu wa Mungu na pia ujue kuwa Mungu alikuona ukiwa na akili nzuri na nakakupa mali  yako na ya mtu asiye na akili nzuri au maskini na mlemavu ili umtunzie,kwa kuwa huyo angepewa mali,angeiharibu na haingemfaidi kwa muda unaofaa,hivyo Mungu alikupa mali yako nay a huyo mwengine ili uwe kama mlinzi.Kila mara unamuona mtu anakuomba msaada  mpee kwa sababu Mungu alikuweka umtunzie .

Usimchukie mtu na huku unasema kuwa unampenda Mungu[ 1yoh 4:19-20] [luka 6: 27-36 ] [warumi 12: 14-20]

Ili kupenda lazima uwe mtu wa kusamehe na kutolipa baya kwa baya [mrk 11:25-26]mt6;12,14 warumi12;14-20,mt 5:21-26 ,waibrania 13:1-2,luka 17:3-4,

Anza kusaidia watu wote wazuri na wabaya Mt 5:43-45 ,luka 6:27-36,

-Wasaidie Mayatima na wajane yakobo 1:27, 1tim 5:3-11  wala usiende kuridhi mjane na lengo ya kuharibu mali aliyo achiwa na mume wake Mt 23:14

– Wasaidie walemavu, vipofu  na maskini luka 14:12-13 ,3:11. [Waandalie  karamu, wanunulie mavazi na uwape chakula ]. Ikiwa unaishi na mlemavu au yatima au mjane au maskini yeyote usimtumie kwa ajili  yako kufaidika  bila kuangalia kile ambacho anapata kwako . Ukiishi na maskini , yatima , mjane au mototo wa mtu mwingine  mhudumie jinsi unahudumia watu wa familia  yako wala usipendelee  yakobo 2:1-17

– Wasaidie hata watu ambao hauwajui luka 10:25-37

– Wafadhili wageni waibrania 13:2

-Wasaidie watu kutoka makabila mengine luke 10;27-37

-Hudumia / Tembelea wagonjwa yakobo 5:14-16 Mt 25:31-40 kuna wale hawasaidii au kutembelea mtu akiwa mgonjwa  lakini wakisikia kuwa huyo mgonjwa amekufa wanakimbia huko na kujitolea kununua jeneza nzuri na nguo mbayo maiti atavalishwa lakini alipokuwa mgonjwa hawakumsaidia ilia pone hayo ni makosa .Madhehebu mengi yana hazina ya ujenzi na kifo na mazishi lakini hawana hazina ya kuwasaidia wagonjwa ,mayatima, walemavu na wajane hayo ni makosa.

Kopesha watu luka 6:32-36 ,lipa deni warumi13:8 zab 37:21                     -Ukiwa na wafanya kazi watendee haki , walipe mshahara wao na uwafanyishe kazi kwa kiasi kinachofaa  ukiwaruhusu kwenda kanisani, kutembelea watu wa ukoo pamoja na marafiki ,yakobo5:1-6

-Ukiomba kitu cha mtu mrudishie na usingoje aje kufufuata mwenyewe na usidhulumu watu wala  usimnyang’anye mtu shamba au kitu ulichomuuzia ,na usiue kwa sababu haya maovu yana matokeo mabaya [habakuki2:9-12 yeremia 5:27-29  Amos 5:11-12 mika 3:10,6:10-15 ,mwazo 4 :10-12 ,mithali 3:10-11] Toba yasawa kama umemnyanganya mtu kitu nikumrudishia luka 19:8 Isaya 58:

Penda jirani

Kulingana na Yesu,jirani ni yeyote unayekutana naye

katika safari ya maisha-Lk 10:30-37

Mifano ya jirani ni: Familia ,marafiki,maadui,wageni n.k

i)Penda Familia yako

Ni muhimu kwako kuomba na kutakia familia yako kuokolewa wote-Matendo 16:31:34, Yoshua 24:15

Penda ndoa yako-mume na mke wafanye mambo yao yote pamoja-Mrk 10:6-9

Mungu amekataa talaka- 1Kor 7:10-11,Mrk 10:1110:11-12

Heshimu ndoa –Ebr 13:4

Mungu amekataa usherati-1Kor 7:2

(2)Marafiki  zab 27;17/mathayo 17;17

Uwe mwangalifu katika kuchagua marafiki_Zab 119:63

Kuteseka kwa sababu ya rafiki_Yoh 15;13

(3)Maadui mt 5:43_48

Penda adui

Ombea adui ili Mungu ampe kupenda

Usilipishe mabaya_warumu 12:17_21

Usikasirikie adui_wakolosai 3:13

Upigane na shetani aliye ndani ya adui kwa maombi_waefeso 6:10-13

Ikiwa ni wewe ndiye unasababisha jirani kukuchukia,tengeneza uhusiano.

Unaweza kuchukiwa kwa sababu ya wokovu ila uwasamehe na uwaombee na usiwachukie wale wanaokuchukia_mt 7:58-60, Lk 23:34 Yoh 15:18-21,16:1-2,Mt 10:34-37

matokeo ya kusaidia watu

Unapowasaidia wanyonge unamkopesha Mungu naye atalipa Mithali 19;17 na unapokosa kusaidia wanyonge na wewepia utakosa msaada Mithali 28:10 ,26: 27 Warumi 12:17

MATUNDA MENGINE YA UPENDO [ 1 Wakor 13:1

Upendo huvumilia – Ukiwa na upendo utavumilia hali zote ndani ya wokovu

Upendo hufadhili- ukiwa na upendo utasaidia watu

Upendo haujivuni-ukiwa na upendo hautajivuna

Upendo hautafuti mambo yake- ukiwa na upendo unatafuta ufanisi wa wengine

Upendo hauhesabu mabaya –  ukiwa na upendo unafunika ubaya 1pet 4:8, unaendelea hata kusaidia hata adui yako

Upendo haufurahii udhalimu –ukiwa na upendo hautafurahia mizaha, matani,ubishi au kuona mtu anatenda dhambi bali utawahubiria ukweli

2Kor 2:5-11)

Kiongozi wa kanisa akilikosea kanisa.1Timotheo 5:19-20,

Mzushi anayelikosea kanisa .Tito 3:10

Adui wako ,Mathayo 5:43-45,Luka 6:27,Warumi 12;14,17-20,

 Utasamehe kina nani?

Yesu alitusamehe

Baba ,mama awasamehe watoto, kwa mfano,kijana mpotevu alisamehewa.Luka 15:11.

Watoto wasamehe wazazi wao na ndugu zao.Kwa mfano Yusufu .Manzo 45:15,50:15-21.

Majirani wasameheane

Uwasamehe maadui zako,kwa mfano,Stefano aliwaombea msamaha waliomwua.Matendo 7:59-60

Yesu aliwaombea waliomuua msamaha.Luka 23;34

Watu wa familia wasameheane.

Mwajiri na mfanyakazi wasameheane.

Ili kuonyesha umesamehe mtu,endelea kumsaidia ,ogea naye,msalimie na usilipize kisasi.Luka 6;27,Warumi 12:14,17-20, 1Wathesolanike 5:15,.,pia ujifanye kama usiyeona makosa unayotendewa.Mithali 19;11.

Unkimfanyia adui yako mema,naye anaendelea kukutendea mabaya,matendo yako mema kwake yanabadilika kuwa makaa ya moto juu ya kichwa chake.Warumi 12:17-20 na pia mitego anayokuwekea ,mwenyewe huanguka ndani..Mithali 26:27,Esta 5:13,7:9