KUJITENGA NA DHAMBI

KUJITENGA NA DHAMBI

Na Isaac Simbiri

watu wanazaliwa katika dhambi na hata wakitenda matendo mazuri bado wana  dhambi –Warumi3:23,Kwa sababu hiyo Mungu alipenda watu na akamtuma -Yesu ili aje kuwaokoa Yoh3:16.anaye mwamini Yesu  anahesabiwa haki bure Rom6:23.na       kuitwa Mristo(mwana wa Mungu)  –yoh 1:12 matendo 11:26.huyu anafaa kutenda matendo mazuri –Mat 3:8,1pet 4;1-4,2Kor 5:17-wala asi endelee kutenda dhambi –Ebr 10:26,ili awe hivyo inafaa ;- asome neno la Mungu( 1)1 pet2:1-2(2)atafute kuwa mtakatifu-1pet  1:15, 1Yoh5:1-21,1Pet 4:1-4 (3) ajazwe na Roho mtakatifu –Yoh 14;14-26,Matendo 1:8(4) aombe  na kufunga –mt 17:21,Matend 13:1-3,Matendo 13(5)awe na upendonaushirikaEbr.10:25,matendo2:42,46,Mt24:42(6)abatizwe ndani ya maji mengi Mrk1:10 matendo 8::36-40(7)aanze kutoa kwa hiari –Matendo 4:32,2kor9:6-7,1Kor9:27 (8)aheshimu ndoa –Ebr13:4 (9)ahubiri injili-Mt28:19-20 hayo yatamfanya kukua kiroho.  Huyu anafaa kuwa mwaangalifu anapotafuta kanisa la kuin gia ndani kwa sababu siku hizi manabii wengi wa uongo wametokea  Mt24:35-47,Mt7:13-23,na wako ndani ya kanisa atawatambua kwa matunda yao:-Viongozi wengi wa kanisa hawajaokoka na hawana Roho mtakatifu na ndio wanaongoza kanisa-Mt6:39-49,ni wenye k I uongozi na pesa wanaongea juu yakuchangishapesazahazinayakifoaujuuya“harambee”ambayoinapofanyika utaon  a vituko vya mizaha matani,uongo.ubishi mvutano na kuuza na kununua (biashara)kanisani Mrk11:15,16  na jina hilo haliko ndani ya Bibilia,na pesa wanazochangisha kupitia kwa hiyo harambee,hao viongozi ndio hugawana. Hawana mwito wa kuhubiri,kazi yao imebaki kuzika wafu,kutii  ukoo kuliko Mungu,ni watu  wasiojikana,wanamfuatan yesu kwa sababu ya mikate(mshahara )Luka 9:57-62,14:16-33,Yoh 6:26-66,hujiunga na sherehe na vyama vya kuchangiana pesa na watu wa mataifa.2kor6:14-17,amos 3:3,1kor8:1o-11,10 20-22.Hawaongei juu ya mambo hayo nimetaja hapo juu(1-9) hujenga na kupamba mahekalu.Wachungaji wanajitahidi kupata magari ya kisasa ,wengine wanatafuta nguvu za kuhubiri chini ya bahari kwa mashetani  ili wafanye ishara hapa duniani na kupata wafuasi, wanatafuta runinga za kisasa,wanawake huvaa mavazi yanaowapasawanaumenayasiyositirimwiliaumafupi,Kumb5:22,Pet3;1-6,1Tim 2:9-10,wana tafuta kuwa sawa na wanaume.Vijana nao hunyoa nywele zao kwa mitindo ya kisasa na anasa, wanatembea kwa maringo na kiburi.usiku wanatafuta mahali kuna muziki wacheze na kutazama filamu za kishetani.wazee nao wameeingilia kurithi wanawake na kujiongezea wanawake ,aliye na mke mmoja  anatamani kuwa na mke wa pili .Wafanyabiashara wengine wanatumia ujanja na wizi ili wafanikiwe zaidi.Baadhi ya wanasiasa wanatafuta kufanikiwa  kupitia ufisadi.Wewe uliyeokoka huu ni wakati wa kujiangalia(Luka21:34)kwa sababu vitu vya dunia vinapita(Mt6;25-34)Tim6:10-19,Ayubu1:21,Mhubiri4:4-8,Mhubiri11:9-10 Isaya 40:8.Mkristo uache kuvuta sigara,ukulima wa tumbaku,kuuza sigara na bangi, usifanye kazi kwenyevyumba vinavyouza na kutengeneza pombe na  ukahaba,ulawiti,1wak6:910,Isaya5:22,habakuki2:15,Methali20:1,Wag5:19-21efe5:18,Isaya 55:1 uache mila kama makumbusho,kunyoa kwa ajili ya wafu,tohara za kienyeji  ambazo ndani yake uchawi unafundishwa na kuwatesa wanaotairiwa,uache tero buru,kupanda mbegu na kuvuna baada ya ngono na kulala na maiti,kutahiri wasichana,kulazimisha  mjane kurithiwa na mmoja wa jamii, uache magendo,vipimo vya udanganyifu,methali20:1023,uachekunyanganya watu mashambaau kusongeza mipaka ,methali22:28, kupokea na kupeana hongo,Luka3:10-15, kuua na kuiba na ufisadi,kanisa lisiingie kwa siasa bali liombee taifa letu na tupige kura na usitumie mishumaa katika kuomba,.Uache kula damu matendo15:20.uache kuanzisha huduma kwa ajili ya kujitajirisha,ubatizwe bila malipo Mt10;8,3:13-16,Yoh3:22-26,matendo2:37-41,8;34-38,10;47,8:18.Wanawake kanisani waache kuvaa bangili,vipuli,kupaka makucha na midomo rangi,kusuka nywele na mapambo mengine yanayowafanya  kufanana na makahaba1Pet3:1-6.1Tim 2:9Kiongozi kanisani awe na mke mmoja,1 Tim3:1-13,Tito1:5.acha      mila na tamaduni mbaya,mariko7:1-10,Wakolosai 2:8 wacha kushika sheria za dini zinazo pingana na biblia,kol2:8 tembea kama mkristo1Pet4:1-4

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *